IAA Yaendeleza Ubabe Maonesho ya Nanenane 2024
Chuo Cha Uhasibu Arusha IAA tumeibuka washindi wa Pili kundi la Taasisi za Elimu na Mafunzo katika Maonesho ya NaneNane Kanda ya Kaskazini yaliyofungwa leo rasmi katika Viwanja vya Themi, Njiro Jijini Arusha
Udahili bado unaendelea hivyo IAA inawakaribisha wanafunzi wote waliohitimu kidato cha nne, na cha sita kujiunga na Chuo kwa ngazi ya Certificate, diploma, na Bachelor Degree Pamoja na wale wanaotaka kujiunga na Masters kwani dirisha bado liko wazi.